Social Icons

Saturday, 6 December 2014

LIVE MUDA HUU MBEYA HOTEL KATIKA MAHAFALI YA 49 YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA KAMPASI YA MBEYA

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Musa Uledi akisoma Hotuba katika Mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu na Biashara (CBE) Kwa niaba ya Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdalah Kigoda yanayoendelea katika viwanja vya Hoteli ya Mbeya.

Mwenyekiti wa Bodi ya CBE Profesa Matthew Luhanga akitoa hotuba katika mahafali hiyo.

Mkuu wa Chuo cha CBE Profesa Emmanuel Mjema akizungumza katika mahafali


 Brass band ya Kihumbe ikiongoza maandamano
 Wahadhiri wakiwa kwenye maandamano
 Wahitimu wakiwa kwenye maandamano

 Mgeni rasmi pamoja na Wahadhiri wakiwa kwenye maandamano
Mwenyekiti wa Bodi akimuongoza mgeni rasmi

Meza kuuKwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.

No comments: