Social Icons

Mission


  • KUWASAIDIA WANAFUNZI WOTE WALIO MALIZA KUPATA KAZI 

  • KUWAUNGANISHA WANAVYUO WOTE WALIOPO TANZANIA NA WALIO NJE YA TANZANIA

  • KUBADILISHANA MAWAZO MBALI MBALI YA KIELIMU NA MAISHA

  • KUSAIDIANA KATIKA KUWA NA SAUTI MOJA KAMA WANAVYUO TANZANIA

  • KUFAHAMIANA NA WANAVYUO WOTE TANZANIA NA KUA NA UMOJA WA WANAVYUO TANZANIA  • KUTENGENEZA SOCIAL NETWORK AMBAYO ITAWAUNGANISHA WANAFUNZI WOTE TANZANIA