Social Icons

Monday, 4 August 2014

GET TOGETHER 2004 UKONGA PRIMARY SCHOOL WAKUTANA‏

1
GET TOGETHER 2004 UKONGA PRIMARY SCHOOL wakipiga picha ya pamoja walipokutana kwa mara ya kwanza kwenye Kiota cha Jungle njiapanda ya Segerea baada ya miaka 10 ambapo walijadili masuala mbalimbali zikiwemo changamoto za kimaisha zinazowakabili na kubadilishana mawazo ikiwa ni pamoja na kuanzisha mikakati ya kujikwamua kiuchumi lakini pia kufurahi pamoja kwani ni muda mrefu walikuwa hawajakutana wanakikundi hao walipongeza Admin wao Paul Kasela kwa kuwakutanosha mojamoja na na kufanikisha kikao hicho muhimu na chenye kujenga na kufurahisha kwani ni muda mrefu walipoteana katika picha kuanzia kushoto ni Teddy, Solomon Balige, Edwin Mpododo, Lusu, Bokhe Wambura,Irene Mtangulwa, Charles Mwita, Janeth Joseph, David Mwara na Ashura.(PICHA NA MDAU WA FULLSHANGWE)
2
Bhoke Wambura kushoto akipozi na wenzake mara baada ya kikao hicho
3
Bhoke Wambura akipozi kwa picha na Ashura kulia na Teddy kushoto.
4
Wakipozi mbele ya kamera
5
Ilikuwa ni Furaha tu.

Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.

No comments: