Social Icons

Monday, 12 May 2014

MPANGO WA KUHAMASISHA WANAWAKE KUSOMEA FANI YA UHANDISI SAYANSI NA TEKNOLOJIA WAZINDULIWA MUST MBEYA

Mgeni rasmi Mkurugenzi msaidizi Wizara ya Sayansi na Teknolojia idara ya sayansi na ubunifu Dr. Magreth Komba
akizindua kijarida cha WITTED kuashiri uzinduzi wa  mpango wa kuhamasisha wanawake kusomea uhandisi sayanzi na teknolojia




Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi

Mgeni rasmi Mkurugenzi msaidizi Wizara ya Sayansi na Teknolojia idara ya sayansi na ubunifu Dr. Magreth Komba
akiongea na wageni waalikwa katika uzinduzi huo


Naibu kaimu makamu  mkuu wa chuo na taaluma 
Dkt Mbonde akimkaribisha mgeni rasmi

Albertina Leonard Mwenyekiti WITTED na mkufunzi idara ya sayansi na biashara akisoma taarifa fupi ya mpango wa kuwahamasisha wanawake kusomea fani ya sayansi na Teknolojia 

Mtungwa William mkuu wa idara ya mitihani na pia kaimu mkuu wa idara ya FSD  MUST

Hapa wanawake wakifurahia uzinduzi 

Tedy Mkwawa mwanafunzi mwaka wa tatu Diploma uhandisi umeme akimwelezea mgeni rasmi jinzi umeme unavyofanya kazi katika nyumba 



Picha zaidi Bofya hapa>>>>>

No comments: