Baadhi ya wahitimu 70 wa mahafali ya 11 ya Chuo kikuu huria cha Mkoani Manyara, wakishiriki mahafali hayo juzi kwenye uwanja wa kwaraa mjini Babati.
Baadhi ya wahitimu 70 wa mahafali ya 11 ya Chuo kikuu huria cha Mkoani Manyara, wakishiriki mahafali hayo juzi kwenye uwanja wa kwaraa mjini Babati.
Wapuliza tarumbeta wa shule ya sekondari Madunga Wilayani Babati wakiwa kwenye mahafali ya 11 ya Chuo kikuu huria cha Mkoani Manyara, juzi kwenye uwanja wa kwaraa mjini Babati.
Picha ya pamoja katika mahafali ya 11 ya Chuo kikuu huria cha Mkoani Manyara, juzi kwenye uwanja wa kwaraa mjini Babati.
Hali ilivyokuwa juzi kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati Mkoani Manyara, ambapo wahitimu 70 wa walishiriki mahafali ya 11 ya Chuo kikuu huria cha Mkoani Manyara.
Picha na Michuzi Blog
Picha na Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment