Social Icons

Monday, 12 May 2014

LIVE MUDA HUU: KAMPENI ZA UCHAGUZI WA RAIS, MAKAMU WA RAIS NA WABUNGE KATIKA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA STEFANO MOSHI.




Hapa ngoma nzito sana kila mtu anataka kupata ushindi 
Uchaguzi huu ni wa Chuo cha Stefano Moshi University College , ambapo inahusisha Campus ya Mwika,Moshi mjini na Masoka 
Endelea Kufuatilia hapa

Ikiwa unamatukio kutoka chuoni kwako tuma kwa Whatsapp Namba +255765056399 au barua pepe blogzamikoa@live.com

No comments: