Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa(kulia)akiongea na
waandishi wa habari, kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Ufundi Jenista Mhagama
----
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa
ameelezea kukerwa na daraja la tano katika muundo mpya wa kupanga
matokeo, kuitwa sifuri.
Dk. Shukuru Kawambwa, aliyasema hayo jana mjini Dodoma alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alivishutumu vyombo vya habari kwa kuchanganya
alama na madaraja yaliyopo katika muundo mpya wa kupanga matokeo ya
mitihani nchini.
Alisema kwa muundo mpya, daraja sifuri ni kati ya
pointi 48 na 49 ambayo inapatikana baada ya mtahiniwa kupata alama F kwa
masomo yote saba.Kwa habari zaidi bofya na Endelea.......
No comments:
Post a Comment