Social Icons

Monday, 3 March 2014

WAFANYAKAZI WANAWAKE WA BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU(HESLB) WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUTOA MSAADA ORCIJengo jipya la mawadi ya wagonjwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Mtaa wa Luthuli, Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi Wanawake wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakishusha mahitaji kutoka kwenye gari tayari kuikabidhi wa uongozi wa ORCI.
Baadhi ya Wafanyakazi Wanawake wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakijiandaa kuingia katika wodi la kwanza la wanaume ambako kuna wagonjwa 60.

No comments: