Social Icons

Thursday, 27 March 2014

UN yawakumbusha wanafunzi Utumwa yawapeleka maeneo ya kihistoria visiwani Zanzibar

DSC_0057
Wanafunzi wa Sekondari ya Ubungo wakimsikiliza mtembezaji wageni (hayupo pichani) wakiwa katika chumba kidogo kilichokuwa kikihifadhiwa watumwa waliokuwa wakisubiri kusafirishwa kwa ajili ya kupigwa mnada katika Kanisa Kuu la Mkunazini.
DSC_0160
Wanafunzi wa Ubungo Modern wakiangalia vitabu vya Historia ya Zanzibar walipotembelea Kasri ya  Wananchi  Forodhani Mjini Zanzibar. 

No comments: