Social Icons

Saturday 15 February 2014

MADEREVA WA BODABODA WALIA NA UONGOZI WA CHUO KIKUU CHA UDOM

 Waendesha pikipiki za kusafirishia abiria maarufu kama Bodaboda wakuwa wameziegesha  katika kituo cha Daladala cha maktaba ya ualimu kilichopo Chuo kikuu kikuu cha Dodoma (UDOM), madereva haowamelalamikia kunyanyaswa na walinzi chuoni hapo kwa kukamatwa na kutishiwa kuvunjwa miguu bila sababu za kueleweka.
 Madereva wa Bodaboda wakiwa wamekusanyika pamoja wakijadiliana jambo wakati wakifikili nini cha kufanya baada ya kuona askari walinzi wa chuo kikuu cha Dodoma ( UDOM)  Kuwafukuza na kuwataka kutopakilia Abiria katika kituo hicho kilichopo katika majengo ya mchepuo wa elimu.


Mmoja wa viongozi wa waendesha Bodaboda wanatoa huduma ya usafiri ndani na n je ya chuo hicho  akiwagawia funguo za pikipiki zao baada ya jana kutotoa huduma hiyo kwa zaidi ya saa 7 wakijadili nini cha kufanya baada ya kutakiwa kutopakilia abiria katika kituo hicho kilichopo chuo cha elimu ndani ya UDOM Dodoma.
Moja ya Barabara zinazoingia katika jengo la utawala la chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) inavyoonekana barabara hizo inalalamikiwa na uongozi wa chuo hicho kutumiwa vibaya na waendesha Bodaboda ikiwemo mwendo kasibila kufuata sheria.  
(PICHA NA JOHN BANDA)
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

No comments: