IMG_1989
Makamu mwenyekiti wa Chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) Bw. Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakaribia kuanza kujengwa  Msata wilaya ya Bagamoyo Pwani kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao 30,000 . kulia kwa makamu  wa chuo ni Mkuu wa chuo cha IFM  Profesa Godwin Mjema  na kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo kinachotoa elimu kwa njia ya mtandao nchini Tanzania Charles Senkondo
Pichani ni uongozi wa chuo cha IFM  kilipotembelea eneo kitakapo jengwa chuo hicho msata wilaya Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
IMG_1993
IMG_2022 (Picha na Chris Mfinanga).