Social Icons

Sunday, 1 December 2013

MAHAFALI KATIKA SHULE YA DAARUL ARQAM KIGAMBONI  Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne katika skuli ya Daarul Arqam iliyoko Kigamboni Dar es Salaam.
 Baadhi ya wahitimu wa maandalizi katika skuli ya  Daarul Arqam iliyoko Kigamboni Dar es Salaam.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne katika skuli ya Daarul Arqam iliyoko Kigamboni Dar es Salaam.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika ya pamoja na uongozi wa skuli pamoja na baadhi ya wahitimu wa skuli ya Daarul Arqam iliyoko Kigamboni Dar es Salaam.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akitia saini kitabu cha maombolezi kufuatia kifo cha mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)  Peter Philip Mangula.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimpa pole Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)  Bw. Philip Mangula, alipofika nyumbani kwake Ostabey Dar es Salaam, kufuatia kifo cha mtoto wake Peter Philip Mangula. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments: