Social Icons

Saturday, 30 November 2013

MAHAFALI KATIKA CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO DODOMA

 Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (wa pili kulia ) mwenyekiti wa bodi ya chuo cha serikali za mitaa Hombolo Ndg. Ramadhani  Khalfan (kulia ) , meza kuu na halaiki yote iliohudhuria mahafali ya tano chuoni hapo wakiimba wimbo wa taifa tayari kuanza mahafali.
 Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi kwa mamlaka aliyopewa akitunuku astashahada na stashahada kwa jumla ya wahitimu 1331 walihitimu fani za utawala,  usimamizi rasilimaliwatu, uhasibu na fedha na maendeleo ya jamii katika mamlaka za serikali za mitaa, katika chuo CHA serikali za mitaa hombolo jana,  Mkuu wa Mkoa alifanya kazi hiyo kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI.
 ZAIDI TAZAMA HAPANo comments: