Social Icons

Sunday, 1 December 2013

MAHAFALI YA CBE, WAZIRI MKUU MH. PINDA ALIKUWA MGENI RASMIWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Cheti cha ubora Baraka Magure ambaye aliibuka kuwa mwanafunzi aliyefanya vizuri katika wahitimu wa Shahada katika mahafali ya Chuo cha Biashara yaliyofanyika kwenye viwanja vya Klabu ya Sigara iliyopo Chang'ombe jijini Dar es salaam Novemba 30, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zwadi Revocatus Mavuno ambaye alifanya vizuri kwa wanafunzi wa ngazi ya Stashahada katika mahafali ya Chuo cha Biashara yaliyofanyika kwenye viwanja vya Klabu ya Sigara iliyopo Chang'ombe jijini Dar es salaam Novemba 30, 2013.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Ikiwa na wewe ulifanya mahafali ama ndugu yako jamaa na rafiki tutumieni kupitia blogzamikoa@live.com nasi tutarusha moja kwa moja buree!


No comments: