Social Icons

Thursday 7 November 2013

SHEREHE ZA MAHAFALI YA 11 YA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBERT KAIRUKI WAHITIMU 114 WAHITIMU MASOMO YAO



Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki Bw. John Ulanga, akisoma hotuba yake wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Prof. Paschalis Rugarabamu, akisoma majina ya wanafunzi bora wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki 

Prof. Pauline Mella akiongoza maandamano ya wanataaluma kuingia ukumbini i wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
kwa hisani ya Michuzi Blog

No comments: