Social Icons

Thursday 7 November 2013

WANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA ( IFM) WAPATA SOMO JUU YA KWENDA KUSOMA VIRGINIA INTERNATIONAL UNIVERSITY

 Mmoja wa viongozi wa Serikali ya Chuo cha IFM akitoa ufafanuzi juun ya Progamu hiyo ya kwenda kusoma Virginia 
 Mwakilishi wa Chuo Kikuu cha kimataifa cha Virginia akigawa vipeperushi vinavyo elezea kwa undani juu ya Chuo hicho.
 Mmoja wa Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi IFM akitoa ufafanuzi juu ya Jambo 

 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha IFM wakiwa wanasikiliza kwa umakini 

 Mwakilishi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Virginia aliyevaa Tshirt Nyekundu akitoa maelezo ya Kina juu ya Chuo hicho pamoja na faida zake.
 Maelezo yakiwa yanaendelea 
Hii ilikuwa baada ya kupata maelekezo ya kujiunga na chuo hicho... 

No comments: