Social Icons

Thursday 7 November 2013

WATANZANIA WANAFUNZI WANAOFANYA ELIMU YA JUU NCHINI KENYA WAUNDA UMOJA WAO UTAKAOKUA CHINI YA TANZANIA WELFARE ASSOCIATION IN KENYA (TWA)


Viongozi wa Mpito wa Umoja huo wakiwa kwenye picha ya pamoja katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Kenya (Nairobi), kutoka Kulia ni; Bi. Nasikiwa Berya (Mtoa Habari), Bw. Shemu Beldon (Mratibu), Bw. Glen Kapya (Mwenyekiti), Bw. Michael Urio (Makamu Mwenyekiti, mstari wa nyuma), Bw. Kapila Kavenuke (Muwakilishi), Mh. Innocent Shiyo (Balozi Daraja, Ubalozi wa Tanzania Nchini Kenya), Bw. Erasto Kamugisha (Katibu Mkuu) na Bw. Kanyopa Gastor (Mratibu). Umoja huu unaunganisha Watanzania wote walioko Nchini Kenya ambao ni Wanafunzi katika Vyuo Vikuu mbalimbali.
Bw. Glen Kapya (Mwenyekiti, Uongozi wa Mpito wa Umoja huo) akiendesha Kikao kilichokua kikijadili masuala na mikakati mbalimbali ya Umoja huo katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Kenya
Picha kwa Hisani ya Michuzi Blog

No comments: