Social Icons

Thursday 3 November 2011

Epiq Nation Friday Yawabamba Vilivyo Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu Mbeya-Ndani Ya The Vibe

:
Killian Nango(mwenye miwani na shuka ya kimasai)-Meneja Mauzo wa Zantel nyanda za juu kusini akiwa na Meneja mauzo wa TBL nyanda za juu kusini-James Kavuma.

Killian akiwa na Mr. Blue pamoja na mdau Richard-Meneja kiwanja cha maraha-THE VIBE
Killian Nango(mwenye miwani na shuka ya kimasai)-Meneja Mauzo wa Zantel nyanda za juu kusini akiwa na wadau wa TBL.
Kwa Hisani ya Mjegwa Blog

No comments: