Social Icons

Friday 23 September 2011

TAARIFA YA MSIBA: MWANAFUNZI WA CHUO CHA DIT DAR ES SALAAM AFARIKI KATIKA AJALI YA MAGALI MJI MDOGO MBALIZI

  Polisi wakiangalia gari aina ya roli lenye namba IT.9518, lililopata ajali baada ya kugongana na gari jingine na hivyo kupinduka na kusababisha vifo vya watu watatu watembea kwa miguu na kuvunja nyumba.
 Gari lenye T.438 BRT aina ya Landovermali ya mchungaji Nduka wa kanisa la Uinjilist Mbalizi. Ambalo liligongana na Lori hilo.
 Taswira ya mbele ya Lori hilo lililosababisha hasara kumbwa.
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha DIT kilichopo Dar es Salaam , Marehemu Dickson Nswila, ambaye alikuwa akielekea kwenye mazoezi ya vitendo TAZARA, jijini Mbeya
 = = =  = 
Uongozi mzima wa matukio na wanavyuo pamoja na wanavyuo wote tumepokea taarifa hii ya msiba mzito wa mwanafunzi mwenzetu kwa masikitiko na majonzi makubwa, kwa ujumla tunapenda kuipa familia ya Marehemu pole sana pamoja na ndugu jamaa na Marafiki, Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali pema peponi
Amen.

No comments: