Social Icons

Sunday, 25 September 2011

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI,DK. SHUKURU KAWAMBWA ATEMBELEA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA



Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi, MHE. ENG. DK SHUKURU J. KAWAMBWA  akizindua OFISI YA MAHUSIANO NA VIWANDA (ILO) iliyojengwa kwa msaada wa Serikali ya Italia.

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha Dkt.Richard Masika akisoma Hotuba wakati WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI MHE. ENG. DK SHUKURU JKAWAMBWA  alipotembelea Chuo hicho       

No comments: