Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
Naibu
Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde (kushoto) akimkabidhi
mfano wa kadi ya uanchama wa NSSF, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma
(UDOM), Rajabu Mahumba wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa AKIBA na
AFYA 'AAPLUS' kwa wanafunzi wa vyuo hafla hiyo ilifanyika Chuo Kikuu
cha Dodoma, mwishoni mwa wiki. (Picha na Francis Dande)
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde akipeana mkono na Meneja
wa NSSF Mkoa wa Dodoma, Rehema Chuma wakati wa hafla ya uzinduzi wa
Mpango wa NSSF wa Akiba na Afya kwa Wanafunzi wa Vyuo, uliofanyika UDOM.
Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Mariam Ahmed.
Baadhi ya maofisa wa NSSF wakifuatilia uzinduzi huo.
Meza Kuu.
Wanafunzi.
Meneja
wa NSSF Mkoa wa Dodoma, Rehema Chuma akizungumza na wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa NSSF wa Akiba
na Afya kwa Wanafunzi wa Vyuo.
Baadhi ya waafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakimsikiliza Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde.
Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mariam Ahmed.
Mshauri wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dick Manongi akizungumza katika uzinduzi huo.
Naibu
Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde ambaye alikuwa mgeni
rasmi katika uzinduzi wa Mpango wa NSSF wa Akiba na Afya kwa Wanafunzi
wa Vyuo uliofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma.
Wakifuatilia uzinduzi huo.
Meneja
wa NSSF Mkoa wa Dodoma, Rehema Chuma akitoa mada wakati wa uzinduzi wa
mpango wa Akiba na Afya 'AAPLUS' kwa wanafunzi wa vyuo.
Mwanafunzi wa UDOM, Mishi Jumanne akiuliza swali kuhusu uanachama wa NSSF.
Wanafunzi wakipimwa afya katika viwanja vya chuo cha UDOM.Dk. Leilah Manga wa Kituo cha Afya Chuo Kikuu cha Dodoma akipima mapigo ya moyo ya mwanafunzi wa UDOM, Hoza Ernest
Wanafunzi wakijaza fomu za kujiunga na NSSF.
Ofisa Matekelezo wa NSSF Mkoa wa Dodoma, Issa Salim (kulia) akitoa maelekezo kwa wanafunzi wa UDOM waliojiunga na NSSF.
Ofisa
Mwandamizi Idara ya Matekelezo, Abubakar Soud (katikati) akiwaelekeza
namna ya kujaza fomu ya kujiunga na NSSF, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha
Dodoma wakati wa uzinduzi wa mpango wa Akiba na Afya 'AAPLUS' kwa wanafunzi wa vyuo uliofanyika katika chuo hicho, mwishoni mwa wiki.
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde akiagana na Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa NSSF, Abdul Mzee.
No comments:
Post a Comment