Social Icons

Friday, 26 February 2016

FURSA: NAFASI ZA KAZI WAHI SASANAFASI ZA KAZI 
Kampuni ya Tone Multimedia ni kampuni ya kizawa iliyosajiliwa na msajili wa makampuni Tanzania  inatangaza nafasi za kazi kwa watanzania wenye sifa zifuatazo.

Afisa Rasilimali watu-1(Human Resource Officer) 
Sifa: Awe na Shahada ya Utawala kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali
       Awe na Umri kuanzia miaka 27-35
       Awe na uzoefu usiopungua Miaka miwili
       Awe na ujuzi wa Kompyuta 
      Aweze kuzungumza na Kuandika Kingereza kwa Ufasaha 
         
Mhasibu Msaidizi-1(Assistant Accounting)
Sifa: Awe na ngazi ya Cheti au Sta Shahada  kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali
       Awe na Umri kuanzia miaka 27-35
       Awe na uzoefu usiopungua Miaka miwili
       Awe na ujuzi wa Kompyuta 
       Aweze kuzungumza na Kuandika Kingereza kwa Ufasaha
       
Afisa Masoko Msaidizi-1
Sifa: Awe na Shahada ya Masoko 
       Awe na Umri kuanzia miaka 27-35
       Awe na uzoefu usiopungua Miaka miwili
       Awe na ujuzi wa Kompyuta 
       Aweze kuzungumza na Kuandika Kingereza kwa Ufasaha

Watoa Taarifa za Habari katika Mtandao nafasi 3(Volunteers as online News Reporter )
Sifa: Ni lazima awe na sta Shahada au Cheti cha uandishi wa Habari(Mass Communication)
        Lazima awe na uzoefu wa kutumia kompyuta 
        Awe na Umri kuanzia miaka 20-35
       Aweze kuzungumza na Kuandika Kingereza kwa Ufasaha

Muhudumu wa Ofisi-1(Receptionist) 
Sifa: Lazima awe na uzoefu wa kutumia kompyuta 
        Awe na Umri kuanzia miaka 20-35 
       Aweze kuzungumza na Kuandika Kingereza kwa Ufasaha

MASHARTI YA JUMLA
  1.  Muombaji lazima awe mtanzania na anayeishi Jijini Dar es salaam
  2. Maombi yatumwe kwa njia ya Barua pepe blogzamikoa@live.com 
  3.  Maombi yote yaambatanishwe na Passport size ya mwombaji
  4.  Tuma CV tu 
  5. Mwisho wa kutuma maombi  Machi 14.2016 saa kumi jioni.
  6. Watakao kidhi vigezo watapigiwa simu kwa ajili ya usahili
  7. Hakikisha unaambatanisha Barua ya maombi ya kazi

Kwa ufafanuzi au maelezo zaidi piga simu namba 0718437455 au 0784477842, Simu hizi ni kwa muda wa kazi tuu.

No comments: