Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko akizungumza
wakati wa hafla uzinduzi wa Tawi la Chama cha Wanafunzi wanaosoma
KiswahiliAfrika Mashariki (CHAWAKAMA) katika Chuo cha Kumukumbu ya Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza katika fani
yaKiingereza na Kishwahili Bi. Fatma
Amour Hamad akiimba shairi wakati wa hafla uzinduzi wa Tawi la Chama cha
Wanafunzi wanaosoma KiswahiliAfrika Mashariki (CHAWAKAMA) katika Chuo cha
Kumukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko akimlisha keki
Makamu Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dkt. Magreth Shawa wakati
wa hafla uzinduzi wa Tawi la Chama cha Wanafunzi wanaosoma Kiswahili Afrika
Mashariki (CHAWAKAMA) chuoni hapo jana.

Baadhi ya wageni waalika wakifuatilia burudani
mbalimbali wakati wa hafla uzinduzi wa Tawi la Chama cha Wanafunzi wanaosoma
Kiswahili Afrika Mashariki(CHAWAKAMA) katika Chuo cha Kumukumbu ya Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko akipanda mti
kamakukmbukumbu ya ya kuzinduliwa kwa tawi la CHAWAKAMA katika Chuo
chaKumbukumbu ya Mwalimu Nyerere jana jijini Dar es Salaam. Mti huo umepewa
jina la CHAWAKAMA.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko (waliokaa
katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Wanafunzi
wanaosoma Kiswahili Afika Mashariki Tawi la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere-CHAWAKAMA – MNMA jana jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment