Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
MPYA: TANGAZO LA AJIRA ZA WALIMU KWA MWAKA 2015.
Ofisi
ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya
ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa.
kwa Maelekezo zaidi tafadhali soma taarifa zifuatazo:
Chanzo: Wizara ya Tamisemi
No comments:
Post a Comment