Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizindua maabara ya
kompyuta katika chuo cha Taasisi ya Taaluma ya wanyamapori Pasiansi
Mwanza wakati wa mahafali ya 49 ya chuo hicho. Kulia ni Balozi wa
Marekani Mark Childless.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa Marekani Mark
Childless wakikagua gwaride la heshima la wahitimu wa chuo hicho.
Wahitimu wakionesha utaalamu wa Karate.
KUONA ZAIDI NA BURUDANI ZAIDI BOFYA HAPA>>
No comments:
Post a Comment