Social Icons

Tuesday, 6 May 2014

WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO WA ZANZIBAR AKUTANA NA WANAFUNZI NA WALIMU WACHUO CHA UANDISHI WA HABARI ZANZIBARKaimu Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar (ZJMMC) Rashid Omar akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk katika mkutano na Wanafunzi wa chuo hicho ngazi ya Diploma na Sataficate katika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar.
Picha zaidi Bofya hapa>>>>>

No comments: