Social Icons

Wednesday, 21 May 2014

WANAFUNZI ZAIDI YA 700 AKIWEMO MTANZANIA WAHITIMU KATIKA CHUO CHA BOWIE STATE UNIVERSITY 2014.

Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote. 

Katika Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University) akiwemo mTanzania anayeishi hapa mjini Maryland Ismail Bibangamba ameweza kutimiza ndoto yake ya kufaulu nondo ya Master of Business Administration siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani Comcast Center, College Park Maryland Nchini Marekani.
Ismail John Bibangamba akipita picha ya kumbukumbu  baada ya kuchukua nondo yake ya Master of Business Administration, siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani ya Mjengo wa Comcast Center, College Park Maryland Nchini Marekani. Picha na (swahilivilla.blogspot.com).

Matumaini: Baadhi ya wanafunzi mbali mbali waliofaulu akiwepo Ismail John Bibangamba wakimsikiliza maelezo maalumu mara tu baada ya kukabidhiwa vyeti vyao katika Mahafali ya Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University) Angalia Mahafali kwenye Video 

No comments: