skip to main |
skip to sidebar
BREAKING NEWS LIVE MUDA HUU: WANAFUNZI WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA STEFANO MOSHI(SMMUCO) WAFUNGA BARABARA WAKITAKA KULIPWA PESA ZAO ZA MKOPO
Kwa
wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo
lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp
namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
Wanafunzi wakiwa katika Makundi mbalimbali katika mgomo huo
Mgomo ukiwa unaendelea huku wakidai pesa zao
Wanafunzi wakiwa wamefunga Njia muda huu
Hapa wakiendelea na madai yao wakiwa ni wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza wa Pili na Watatu
Endelea kufuatilia
Picha na Matukio na wanavyuo
No comments:
Post a Comment