Social Icons

Saturday, 22 March 2014

WANAFUNZI WA KIKE CBE DAR WAANZISHA MFUKO WA KUWAKOMBOA KIELIMU

Baadhi ya wanafunzi wa Kike wa Chuo cha CBE wakiwa wamebeba bango lenye ujumbe mahususi kutetea haki za wanawake na usawa wa kijinsia wakati wa uzinduzi wa mfuko maalum wa Jumuiya ya Wanafunzi wa kike wa chuo hicho.

No comments: