Kaimu
Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Dar Es Salaam VETA, Bi Benadetha Ndunguru
akiongea na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa
kutambulisha mradi wa ushirikiano kati ya Vyuo vya Ujerumani na VETA kwa
wanafunzi wa Tanzania.
Meneja
Mradi wa "German Dual System Apprenticeship"(katikati) Martin Mac Mahon
akizungumzia juu ya mradi ambao German wameshirikiana na Chuo cha VETA
nchini katika kuhakikisha wanaboresha maswala ya elimu ya vitendo
Tanzania. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Dar Es Salaam VETA,
Bi Benadetha Ndunguru.
Meneja
Mradi wa "German Dual System Apprenticeship"(katikati) Martin Mac Mahon
akiongea na waandishi wa habari wakati alipowatembeza kwenye moja ya
karakana ambayo inatoa masomo kwa vitendo yaliyo chini ya mradi
wa "German Dual System Apprenticeship" iliyopo katika Chuo Cha VETA
kilichopo Chang'ombe jijini Dar Es Salaam.
Meneja
Mradi wa "German Dual System Apprenticeship"(katikati) Martin Mac Mahon
akiwaonyesha moja ya magari yaliyotolewa na Kampuni ya Noble Motors
kwaajili ya Mafunzo ya Vitendo yaliyo chini ya Mradi wa "German Dual
System Apprenticeship" kwa wanafunzi wa Chuo Cha VETA.
Wanafunzi
wa Chuo Cha VETA wakiwa katika mafunzo kwa vitendo ambayo yapo chini ya
mradi wa "German Dual System Apprenticeship" ambapo wanafunzi wanapata
nafasi ya kufanya mafunzo kwa vitendo na kuunganishwa na makampuni ambao
wanafunzi hao hupelekwa kwaajili ya mafunzo zaidi
Moja
ya gari lililotolewa na Kampuni ya Noble Motor kwaajili ya mafunzo kwa
vitendo yaliyo chini ya mradi wa "German Dual System Apprenticeship"
Moja
ya gari lililotolewa na Kampuni ya Scania Tanzania kwaajili ya mafunzo
kwa vitendo yaliyo chini ya mradi wa "German Dual System Apprenticeship"
Kaimu
Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Dar Es Salaam, Bi Benadetha Nduguru
akiongea na waandishi wa habari wakati walipotembezwa kwenye moja ya
karakana inayotumika kwaajili ya Mradi wa "German Dual System Apprenticeship"
Meneja
Mradi wa "German Dual System Apprenticeship"(katikati) akiongea na
waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kuwatembeza waandishi wa
habari na wageni waalikwa kwenye karakana zilizo chini ya Mradi wa "German
Dual System Apprenticeship" ambapo Ujerumani na Chuo Cha VETA
wameshirikiana katika mradi huo.
Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment