Social Icons

Thursday 20 March 2014

TAARIFA:MWANAFUNZI WA CHUO CHA UDOM GODLOVE BENJAMIN ALIYEFARIKI SIKU YA IJUMAA KUZIKWA LEO MKOANI MARA



Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma – UDOM aliyekuwa anafahamika kwa jina la Godlove Benjamin, Mwaka wa Tatu aliyekuwa anasoma shahada ya Utawala wa Biashara(BBA) Kitivo cha Sayansi ya Jamii (Social Science) amefariki dunia siku ya Ijumaa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam wakati akiwa likizo ya wiki mbili na mwili wake umesafirishwa kwa ajili ya mazishi, ambapo anazikwa leo siku ya Alhamis nyumbani kwao mkoani Mara. Sababu ya kifo  chake aliugua ghafla ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid).
MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEMU GODLOVE BENJAMIN MAHALI PEMA PEPONI
AMINA 

No comments: