Mwezeshaji Bwana Sebastian
Ndahani Inoshi a.k.a Seba (Kushoto) akiwasilisha mada. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi
Msaidizi wa Raslimali Watu na Utawala Bi. Nuru Sovellan na Kulia ni Kaimu
Mwenyekiti RAAWU Tawi la HESLB Bi. Octavia Selemani.
Sehemu ya wanachama wa RAAWU tawi la HESLB wakifuatilia
kwa makini mada zilizokuwa zinawasilishwa katika semina hiyo.
Sehemu ya
wanachama wa RAAWU tawi la HESLB wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa
zinawasilishwa katika semina hiyo.
No comments:
Post a Comment