Mwanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Tangayika ya
jijini Dar es Salaam, Ali Jivraj, ametoa msaada wa taa 200 zinazotumia
nishati ya mwanga wa jua kwa wanafunzi waliotoka familia duni wa kituo
cha UAACC, kilichopo Embaseni, wilayani Arumeru, ili watumie kusomea
,uda wa saa za ziada. ZAIDI SOMA HAPA>>>
No comments:
Post a Comment