Social Icons

Saturday, 18 January 2014

Balozi Seif Ali Iddi mgeni kwenye Mahafali ya 13 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu KILIONI Chukwani, Zanzibar


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwahutubia wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar waliomaliza masomo yao ya shahada ya kwanza kwenye mahafali ya 13 ya chuo hicho.Kushoto ya Balozi Seif ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Ali Juma Sahamuhuna na kulia yake ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho Dr. Abdulrahman El- Muhailan.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>

No comments: