Social Icons

Friday 9 August 2013

MTAZAME MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM(UD)ALIYEFARIKI KWA KUPIGWA RISASI



Picture: Patrick Rweyongeza

Mhadhiri wa College of Engeneering katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, Patrick Rweyongeza, ameuawa jana kwa kupigwa na risasi.

Tukio limetokea jana mchana katika maeneo Magomeni-TANESCO wakati marehemu akielekea mjini ambapo watu waliokuwa wamepakizana kwenye pikipiki walimfuata na kumfyatulia risasi na kisha kutokomea.
 
NA  DJ SEK BLOG

No comments: