Social Icons

Thursday 8 August 2013

MHADHIRI WA CHUO KIKUU UDSM AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI JIJINI DAR ES SALAAM




Patrick Rweyongeza, Mhadhiri (College of Engeneering) UDSM, ameuawa leo kwa kupigwa na risasi. 



Tukio limetokea majira ya jana mchana maeneo Magomeni TANESCO wakati marehemu akielekea mjini ambapo watu waliokuwa wamepakizana kwa pikpiki kumfuata na kumfyatulia risasi kisha kutokomea. 



Haijafahamika kama kuna uporaji uliofanyika au la.

No comments: