Social Icons

Friday 20 April 2012

Chuo cha Splended chafanya mahafali ya ya 24 chuoni hapo



Mkuu wa chuo cha Uhalizi pamoja na ualimu Splended kilichopo Ilala
jijini Dar es Salaam bwana  Cassim Taalib akihutubia wakati wa mahafali
ya 24 ya chuo hicho yaliyofanyika leo hii katika chuo hicho jijini Dar es Salaam.

Aliyekuwa mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Tabora mstaafu bwana Abedi
Mwinyimusa ambaye ndiye mgeni rasmi katika mahafali hayo akihutubia
wanafunzi pamoja na wazazi waliokuwemo katiaka mahafali hayo ambapo
aliwataka wanafunzi kuwa na juhudi pindi wawapo kazini na pia kuwa na
nidhamu kazini.

Edda willbert(kushoto) na Havilla Helbert ambao ni wahitimu katika
mafunzo yao wakisoma risala ambapo walimtaka mgeni rasmi awasaidie
kupata vifaa vya kujifunzia ambapo walivyonavyo kwa sasa vimechakaa.
Baadhi ya wahitimu wakifurahia siku hiyo ambayo ni historia katika maishayao.

Picha zaidi Bofya hapa chini

No comments: