Social Icons

Monday, 20 June 2016

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI ZIMAMOTO AFUNGA MAFUNZO YA WAHITIMU 156

Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira (katikati) akifurahia jambo wakati Gwaride lilipokua likiendelea mara alipofika Chuoni hapo kufunga mafunzo ya wahitimu 156  wa Kozi ya Uongozi Daraja la Pili, Chuo cha Zimamoto na Uokoaji katika Kijiji cha  Cogo kilichopo Wilaya ya Jimbo la Handeni Mkoa wa Tanga, kulia ni Mrakibu Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Athumani  Rwahila na kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mmoja wa wahitimu hao pichani Abdallah Ulutu akiwa tayari ametunukiwa cheo chake
Wahitimu hao wakiwa katika Gwaride

KUONA ZAIDI INGIA HAPA

No comments: