Social Icons

Sunday, 29 November 2015

MKUU WA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBERT KAIRUKI ANOGESHA MAHAFALI YA KUMI NA TATU‏

Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote. 
 (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
  Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akiwa katika pozi mara baada ya kuhitimu

  Muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Mwanaidi Nyalukunyo akiwa katika pozi
 Muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Mwanaidi Nyalukunyo akiwa na tabasamu Baadhi ya wahitimu wa Kozi ya Uuguzi wakila Kiapo
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim, akimtunuku  muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Dar es Salaam,  Beatrice Mugula  ambae ni Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim, akimkabidhi cheti  muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Beatrice Mugula  ambae ni Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
 Beatrice Mugula, akiwapa mikono baadhi ya viongozi waliopo meza kuu mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki
   Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akivaa kofi yake mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work)

Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Slaam, Beatrice Mugula (wa pili kulia) akiwa na wenzake akipiga makofi mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) 

  Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) katika  Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki

  Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akiwa katiki pozi na muhitimu mwenzake wa fani hiyo, Mwanaidi Nyalukunyo   Muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya  Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Mwanaidi Nyalukunyo akiwa katika picha ya pamoja na familia yake
No comments: