Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
Mwenyekiti wa Shirikisho la vyuo vya
Elimu ya Juu Taifa (MNEC) Bi. Zainab Abdalah Issa akiongea na waandishi wa
habari(Hawapo Pichani) na kutoa tamko la kuwapongeza wajumbe wote wa vikao vya
maamuzi ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) kwa kutenda haki katika uteuzi wa
wagombea watakaowakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu baadae mwezi kumi,
wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa Shirikisho hilo Bw. Hamid Saleh Mhina.
Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza
Mwenyekiti wa Shirikisho la vyuo vya Elimu ya Juu Taifa (MNEC) Bi. Zainab
Abdalah Issa wakati wa mkutano huo
Picha na Hassan Silayo
No comments:
Post a Comment