Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
Pichani ni Baadhi ya Wanafuzi wa Shule ya Feza Tanzania na
viongozi wao ambao wapo hapa Marekani kwa ziara ya mafunzo walipata
nafasi ya kufika katika uwakilishi wa kudumu wa Tanzania na
walibadilishana mawazo na Naibu Mwakilishi wa Kudumu, Balozi Ramadhan
Mwinyi.
Bi. Monica Otavu, Wakili wa Serikali Mkuu, akizungumza wakati wa
Mkutano wa 25 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa
Sheria ya Bahari. Katika Mkutano huo wa wiki moja pamoja na
masuala mengine, wajumbe walitambua na kupongeza mchango mkubwa
unaofanywa na vyombo vinavyoundwa na Mkataba huo . Vyombo hivyo ni
Mahakama ya Migogoro ya Bahari , Kamisheni ya mwambao wa Bahari (
Commission on Limits of Continental Shelf), na Mamlaka ya Kimataifa
chini ya Bahari ( International Seabed Authority
No comments:
Post a Comment