--
Thursday, 18 June 2015
Tangazo Kwa Umma Kutoka Jeshi la Polisi:Jeshi la Polisi Tanzania linatangaza nafasi za ajira kwa mwaka wa fedha 2015/2016 kwa vijana wenye elimu ya vyuo vya elimu ya juu waliosomea ujuzi/fani mbalimbali toka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na wahitimu wa kidato cha sita wa mwaka 2014 waliopitia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria
--
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment