Social Icons

Friday, 12 June 2015

ASKOFU AWATAKA WATANZANIA WAJITOKEZE KUJIANDIKISHA

Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.

Askofu Mkuu wa Kanisa la International Evangelism Church
Eliud Isanja (wapili kushoto) akiwa katika mahafali ya chuo cha Bibilia
kinachomilikiwa na kanisa hilo.watatu kushoto ni Mgeni Rasmi Kwa upande
wake Askofu Mwangalizi wa  Kanisa hilo Israel Maasa

Na woinde shizza ,Arusha
Askofu Mkuu wa Kanisa la International Evangelism Church Eliud Isanja  amewataka Watanzania wajitokeze kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili kutimiza haki yao ya kikatiba na kuchagua viongozi bora watakaoleta maendeleo  ya taifa.

Isanja aliwaasa Watanzania kutozembea nafasi hiyo muhimu na badala yake waitumie fursa hiyo  itakayoleta  mabadiliko yanayotarajiwa na wengi.
 

No comments: