Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
Je unapenda Jua Tiba mbadala ya Magonjwa Sugu? piga simu +255752361305
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Kimataifa Cha Kampala (KIU) wakiwa katika
maandamano leo katika chuo hicho baada ya Kitivo cha Famasia kushindwa
kutambulika na mamlaka mbalimbali.
Askari
wa Polisi wakiwa katika gari na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha
Kampala (KIU) waliowakamata katika maandamano hayo.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha
Kimataifa Cha Kampala (KIU) leo wameandamana na katika chuo hicho
kushinikiza warudishe fedha zao kutokana na kuanzisha kitivo ambacho
hakitambuliki na mamlaka za nchi.
Mgomo huo umeanza majira ya saa
tatu kwa baadhi wanafunzi kuwazuia wenzao wasiingie katika chumba cha
mtihani na baada ya hapo wakaibuka na mabango kwenda katika ofisi za
utawala wa chuo hicho.
No comments:
Post a Comment