Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
Mkurungezi wa taifa wa kaymu tz Ndg Morgan akitoa elimu kuhusu biashara ya kutumia teknolojia ya mtandao na jinsi gani vijana wanaweza kutumia mtaji kidogo kuweza kutangaza na kuuza bidhaa zao |
Mkurungezi wa Authentic media group Ndg Max Rioba akiwahamasiha vijana kuweza kutumia vipaji vyao kama sauti na kuweza kutengeeneza ajira |
Mkurunezi wa IPP media Dr Regnald Mengi akitoa hamasa wanafunzi kwueza kutumia fursa kuweza kutengeneza mawazo ya kibiashara katika kongamano la wanafunzi wanaosoma masoko na biashara |
wanafunzi wakifautilia kwa makini kongamano hili la marketing forum lilifnayika mwisho ni wa juma hilii siku ya jumamosi katika chuo kikuu cha D ar es salaam |
Dr Kitila Mkumbo akipokea tuzo ya mwanasiasa anayependwa sana na mwenye mvuto kwa jamii ambayo tuzo ilienda kwa ZITTO KABWE |
Mkurungezi wa AEG LTD ndg Iman kajula akitoa tuzo kwa Diamond platinumz kama msanii anayependwa na tuzo iliyochukuliwa na NIKI WA PILI kwa niaba yake kwani Diamond alikuwa nje ya nchi |
Mkurungezi wa IPP media Dr Reginald Mengi akitoa shukrani kwa waandaaji wa tuzo hizi aliYoweza kushinda pia kwa wananchi wote waliopiga kura kufanikisha ushindi wake |
Picha ya pamoja ya washindi wa tuzo mbalimbali zilizotolewa mwishoni wa wiki hii siku ya jumamosi kaitika chuo kikuu cha Dar es salaam |
Meneja masoko wa bRIGHTER monday akieleza kwa namna gani mtandao wao ( www.chochote.co.tz)huwezesha na kurahisha utafutaji wa nafasi za kazi pia waajili kutafuta waajiliwa wenye vigezo |
No comments:
Post a Comment