Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson
Mandela(NM-AIST),Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo
cha Kikuu cha East China Normal University(ECNU)Profesa Sun Zhenrong
wakisaini makubaliano ya vyuo hivyo viwili kushirikiana katika nyanja za
utafiti,mafunzo na kifedha leo mkoani Arusha.
Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson
Mandela(NM-AIST)kilichopo ,Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu
wa Chuo cha Kikuu cha East China Normal University(ECNU)Profesa Sun
Zhenrong wakibadilishana na hati za makubaliano hayo leo mkoani Arusha.
Viongozi
wa Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela wakiwa katika
picha ya pamoja na viongozi wa Chuo Kikuu cha East China Normal
University.
No comments:
Post a Comment