Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na baadaye katika
mazungumzo na uongozi wa juu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam
uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo February 9, 2015.
Ujumbe huo umeongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri
Tanzania Dkt Alex Malasusa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la
Nyumba la taifa (NHC) na Mwenyekiti wa Harambee ya chuo hicho ambacho
kinamilikiwa na kanisa la KKKT.
PICHA NA IKULU
Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
No comments:
Post a Comment