Social Icons

Wednesday 3 December 2014

CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE CHAIOMBA SERIKALI KUPELEKA VIONGOZI WAKE KUSOMEA MAFUNZO YA MAADILI NA UONGOZI


 Mkuuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, 
Profesa, Shadrack Mwakalila
 Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Dk. Thomas Ndaluka
Ofisa Uhusiano wa Chuo cha Kumbukumbu ya 
Mwalimu ya Mwalimu Nyerere, Evelyne Mpasha.

 Mkuuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa, Shadrack Mwakalila (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mipango na masuala mbalimbali ya chuo hicho. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Dk. Thomas Ndaluka. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)

 Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.

Dotto Mwaibale

CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kimeiomba Serikali kurudisha utaratibu wa viongozi mbalimbali wa Serikali kwenye kupata mafunzo ya maadili na uongozi katika chuo hicho.


Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.

No comments: