Social Icons

Tuesday, 25 November 2014

WATANZANIA WASHIRIKI "INTERNATIONAL DAY" YA ERASMSUS UNIVERSITY OF ROTERDAM TAWI LA ISS THE HAGUE


Watanzania wanaosoma chuo cha EUR wameshirikiana na watazanzania wenzao pamoja na ubalozi katika kushiriki siku ya kimataifa katika Tawi la International Institute of Social Studies kwa heshima ili waone kile kinachokifanya na inaweza kuwa chachu kwa watanzania wengine waliopo maeneo mengine.
Washiriki wa kitanzania katika siku ya kimataifa katika Tawi la International Institute of Social Studies,Shamimu na Jackson Bulili wakiwa kwenye banda lao.
Sehemu ya Washiriki waliosimama ni Luth John, Jockson Bulili, Neema, Shamy Chamicha na Shamimu. 
Picha na Michuzi Blog

No comments: