Social Icons

Monday, 24 November 2014

MAHAFALI YA 7 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU CHA DAR ES SALAAM (DUCE)


 Baadhi ya walimu na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Dar Es Salaam (DUCE) wakiondoka uwanjani ambapo sherehe ya Mahafali ya Saba ya Chuo zilipofanyika hapo jana tarehe 22 Nov 2014.
 Baadhi ya wanafunzi wa shahada mbalimbali wakiwa tayari kwaajili ya kutunukiwa shahada zao kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Dar Es Salaam (DUCE).
 Kikosi cha Bendi cha Jeshi la Polisi wakiondoka katika Eneo la Mahafali
 Msafara ukiondoka eneo la tukio la Mahafali yaliyofanyika jana katika Kampasi ya Chuo hiko Chang'ombe Jijini Dar Es Salaam
 Baadhi ya wahitimu na ndugu zao wakiwa katika kampasi ya chuo hiko kwaajili ya kuwapongeza ndugu zao waliohitimu shahada mbalimbali za Chuo hiko
Masista Wakimpongeza mwenzao ambae alitunukiwa shahada ya Elimu kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE.
Picha Zote na Josephat Lukaza - Lukaza Blog, Dar Es Salaam

Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.

No comments: